
02. full package – mic gower текст песни
zaambuye music
[chorus – mic gower]
love , kwa yesu
swagga, kwa yesu
knowledge , kwa yesu
raha, kwa yesu x 2
tuko full package x 8
[verse 1- mic gower]
weka kwanza bando lako
uweze download upako
ukichek kwetu unlimited
mega bless mpka kesho
timba kwenye wokovu app
uweze kupata wapanzi
wako wanapanda mbegu
kwa yesu ndo mfinyanzi
neno kwetu sie bureee
uponyaji kwetu mbona bure
utashi sana tena bure
despline kama bonus
namtaja mimi kwao kero
maneno yangu yana kristo
wanasema nasound kama migos
sasa mbona ni uchuro
kila naposema ukwel
wanasema sana niko same
extreme ndio bando
extreme ndio mpango
extreme ndio kweli
extreme ndio kristo
extreme sio powa
linachoma choma mpka roho
[bridge]
every one want jesus
everyone need jesus
[chorus]
[verse 2- mic gower]
maombi kwetu ndio call
free calls everyday
text kwetu ndio kwake
nyingi mpka utablow
upendo wake bila vat
mikopo yetu automatic
mtii usipate emergency
upate bando la neema
jaza ujazwe, uni credo
hakuna matata joh
yesu ni supernatural
tena mtakatifu
cheap yake haina kwere
tulio nayo nibwerere
tangazo zetu ni uzima
maisha baada ya siku kuu
hiyo ndio halichachi life
unalipata ukioka joh
unalipata ukibatizwa
unalipata ukiawa na roho mtakatifu
sio mtakaba bifu
fujo fujo si hakuna kitu
wote ni upendo tu
yesu kwetu ndio kiki fam
[customer care – mwamini]
the number your calling is not reachable
please try jesus line
to get enternal life
[bridge]
every one want jesus
everyone need jesus
[chorus]
случайный
- lupin & margot – scaglhammer текст песни > scaglhammer текст песни
- 5ky walk3r – teflon killah & ebuka текст песни > teflon killah ebuka текст песни
- miss u – nom!5 текст песни > nom5 текст песни
- walking backwards – mike mains & the branches текст песни > mike mains the branches текст песни
- flex – bryan monopoly текст песни > bryan monopoly текст песни
- polaroid – chris wandell текст песни > chris wandell текст песни
- pain addiction – sparkle haze текст песни > sparkle haze текст песни
- десimals (decimals) – may wave$ & ameriqa текст песни > may wave ameriqa текст песни
- les autres – northern crown текст песни > northern crown текст песни
- camera – nostrum grocers текст песни > nostrum grocers текст песни
- best of the broken – h.e.a.t. текст песни > h e a t текст песни
- unlike you – liz bissonette текст песни > liz bissonette текст песни
- dual core – dual core текст песни > dual core текст песни
- #vraiparlé – les anticipateurs текст песни > les anticipateurs текст песни
- the further adventures of tubby the tuba – the manhattan transfer текст песни > the manhattan transfer текст песни
- eldorado – ismaël metis текст песни > ismael metis текст песни
- aquarius – renn woods текст песни > renn woods текст песни
- argane – inkonnu текст песни > inkonnu текст песни
- love me like you used to do – tanya tucker текст песни > tanya tucker текст песни
- clareza – rodrigo campos текст песни > rodrigo campos текст песни